Wimbo wa My Number One wa Diamond umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki katika tuzo za Burundi zinazojukana kama TTM Awards.

“Asante sana kwa Media wadau na Mashabiki zangu pendwa kwa kuifanya Number One kuwa Nyimbo Bora ya East Africa ya Mwaka kwenye tunzo za #TTTMAwards nchini Burundi.....” Ameandika Diamond kwenye Instagram akiambatanisha na picha ya mtu aliyempokelea tuzo hiyo

Maoni