AFANDE SELE AFIWA NA MKEWE!(mama Tunda)
Msanii afande Sele ameondokewa na mzazi mwenzie (aliyewahi kuwa mkewe..... na hichi ndicho alichoandika.
Ndugu zangu!! Nimefiwa na Mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. SISI NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA; MUNGU AMPUMZISHE PEMA.

Maoni
Chapisha Maoni