Benpol's New Audio release... Officially siku ya Jumatatu Tarehe 25 Agosti hii kupitia HAPA https://mkito.com/artist-profile/noiz-arachuga/355 Follow @iambenpol @defxtro @noizmekah
Ben Pol amepanga kuachia wimbo mpya Jumatatu ya wiki ijayo ambao ameufanya katika studio za Noiz Mekah, chini ya producer Def Xtro ameeleza kuwa wimbo huo utatoka
maalum kwenye mtandao wa Mkito hivyo utakuwa ukinunuliwa online Kwa mujibu wa Ben Pol, yeye na DX walikubalina kuwa wimbo huo utakuwa wa
kwao wote katika biashara hiyo kwa maana kwamba watagawana.
Maoni
Chapisha Maoni