UJUMBE WA VIVACONSCIOUS KWA WAKALI WA MEDIA “MONEY CAN'T BUY EVERYTHING” Baadhi ya Wasanii WanaHonga hela kwa Hawa Jamaa ili nyimbo zao zipigwe redioni bila kujali uwezo na ubora
Unajua Muziki wetu wa Bongo kama Hauna Msimamo na Malengo Utafeli sana.
Nillifanya Utafiti Juu ya Media na Jamii katika Muziki wa Ghana
nikagundua mengi sana ambayo upande wa Tanzania ni kinyume
Jamii Yetu imegawanywa pande mbili katika uhusiano na Muziki .. Kuna ndugu zetu wanaitwa WAKALI WA MEDIA , Hawa Kuna upande mmoja wanasaidia ukuaji wa Muziki na Upande mwingine wanabomoa Pia .. MONEY CAN'T BUY EVERYTHING Ni msemo ambao unaweza weka sawa haya , Baadhi ya Wasanii WanaHonga hela kwa Hawa Jamaa ili nyimbo zao zipigwe redioni bila kujali uwezo na ubora hawa jamaa hutenda kazi. Mwishowe Baadhi Yao Hudiriki ku waendesha wasanii kama watoto. Kwa Asilimia Kubwa Wamekuwa Hawana Positive changes kwa Muziki wa Bongo kutambulika Nje ya Nchi , Muziki ni Pesa Muziki ni Furaha ,Muziki ni Biashara lakini Muziki si RUSHWA wala Fitna.
Je Mfano Ikatokea Hamna msanii wa kuwafata kuwahonga mwak mzima kwani Hamli au Kuendelea na Maisha? Basi Wenye Tabia HII WABADILIKE Muziki Uendelee Mbele.
Napenda Sana Kuona Baadhi ya WAKALI WA MEDIA Ambao Directly wanasapoti Vitu Vizuri Bila Kuangalia Mambo mengine yakimaslahi.
BLESS UP TUSOGEE Mbele Tazama Video ya Interview ya wimbo wangu EAST AFRICA METAPHOR ukitambulishwa SPIN RADIO 93.0 Ya Nchini CZECH REPUBLIC

Maoni
Chapisha Maoni