CD ya Muziki wa Vitali Maembe. CD1 Tsh 10000/=, 100% inachangia Ada ya Chuo. Nunua CD kusapoti elimu ya wasanii vijana wa Bagamoyo.
Karibu kwenye onesho Ijumaa 22nd August 2014 Chuo Cha Sanaa, TaSUBa. Saa Mbili Usiku. Kiingilio Bure. Njoo upate Burudani ya Muziki na Ununue CD ya Muziki wa Vitali Maembe. CD 1Tsh 10000/= 100% inachangia Ada ya Chuo. Nunua CD kusapoti elimu ya wasanii vijana wa Bagamoyo.
Maoni
Chapisha Maoni