A.Y @WhiteHouse| Rais Barack Obama Awakaribisha Wasanii Kutoka Africa Kwenye Mkutano Wa Siku Tatu.

Safari hii ni kwa ajili ya shughuli za
One Campaign ili kushiriki kutoa mchango wa kuimarisha mazungumzo kati ya
serikali ya Marekani na nchi za Africa kwenye US-Africa Leaders Summit. Rais
Barack Obama atawakaribisha viongozi kutoka Africa kwenye mkutano wa siku tatu
ambapo kwenye safari hii, wasanii watakuwa pia na mkutano na viongozi wa juu wa
Marekani,wengine ni kutoka Young African Leaders Initiative (YALI) na members
of congress.
Kwenye mikutano hii wasanii kwa pamoja watafanya utetezi na kusisitiza wananchi wa Africa kuchukua hatua za kujihusisha na kilimo kama ONE campaign inavyosisitiza. Zaidi ya kushiriki kwenye mkutano wasanii watafanya show kwa kuimba wimbo wa Cocoa Na Chocolate.
Listi ya wasanii ni A.Y. (Tanzania), Buffalo Souljah (Zimbabwe), D’Banj (Nigeria), Fally Ipupa (DRC), Femi Kuti (Nigeria), Judith Sephuma (South Africa), Omawumi (Nigeria), Victoria Kimani (Kenya) na Wax Dey (Cameroon).

Maoni
Chapisha Maoni