Mamong'oo Remix @jambosquad saa sita usiku wa kuamkia Jumatatu 18th August

Pichani ni Kikosi kizima cha Mamong'oo Remix.Huku tukisubiria LINK ya Mamong'oo remix saa sita usiku wa kuamkia Jumatatu 18th August, fannya kuungana na Jambo squad katika mitandao ya kijamii kwa ku-follow @odjambo @chaliijambo @jambosquad

Maoni