KiLinGe dAY at NEW Msasani Club #team tamadunimuzik!...na ule mzigo wetu upo ...t-shirt Kali za Hip hop/ santuri/mixtape..ibuka msasani club ujipatie yako kwa 15000.Check na Boyca Tz. !!!!!!! Usikoseeeeee mtu wetu wa nguvu.!


 (1) Wakati by Songa (2) Wingi wa habari by P The Mc (3) Kitabu Mixtape by Malle Marxist (4) Nasaha za Ghetto by Balozi Wa Ghèttò (5) Kiutu uzima by Kad Go ! Na zingine zote za tamadunimuzik.! Fika New Msasani Club ili uweze kujipatia nakala yko na t-shert kali znapatikana kila siku kuanzia SAA 3 asubuh mpk SAA 6 usiku tupo hapa kwa ajili yko.! Team tamadunimuzik # Support Hip Hop tz.


Maoni