Nash Mc Zuzu Ndiye Aliyenifanya Kuwa P The-mc Polymath Leo Hii.... Kwa Vyovyote Watu Wanavyomchukulia Ajue Kuwa Namuheshimu Sana.

 Mimi na Nash Mc Zuzu tumeanzia mbali sana kwa wasiofahamu........hata undugu huwa haudumu kiasi hiki!!Kupitia yeye nimeyajua mengi sana yanayokusiana na HIP HOP. Namuheshim sana.Mungu atuzidishie upendo na amani kwenye ujamaa wetu,AMEN!
(P The-mc Polymath) 

Maoni