Mh Raisi amkutanisha na kumconnect diamond na mdau mkubwa duniani.
Wapi Utapata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa Thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani..akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na Mdau mkubwa Duniani katikaa tasnia uliyopo, ili kuhakikisha tu Unafikia Malengo na Ndoto ya kazi zako.... Dah! Asante sana Mh Rais, Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusmamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako.

Maoni
Chapisha Maoni