MTAZAMO WA MGOSI MKOLONI KUHUSU MAPACHA
Mgosi Mkoloni ya masaa yaliyopita... aliulizwa swali lifuatalo na bwana DanielManupa
Daniel Manupa aliuliza >> "Mgosi Mkoloni naomba uniambie mtazamo wako kuhusu mapacha kutambulisha nyimbo yao ya kwa mara ya kwanza kupitia wafu fm, je ukiwa kama mmoja wa vinega unawaunga mkono na kwamba mmeshayamaliza na kina ruge?"
MGOSI MKOLONI akajibu >> "Ndugu zangu,harakati kwangu ndio kitu nachokipenda na ninachokifanya. Ndio maisha niliyochagua,kuhusu mapacha wamefanya maamuzi wao kama wao na sikuwahi kushirikishwa hata siku moja zaidi nilisikia kwa watu ndio nikawauliza,binafsi sifikirii na sioni kama kwangu ni suala la kulizungumzia kwa sababu kwenye haya maisha ukiacha hali ya kila mtu na mtazamo wake mimi nachoamini ni kuwa "BORA NIFE NIMESIMAMA KULIKO KUISHI KWA KUPIGA MAGOTI".......anaogopwa Mungu tu na si binadamu@Daniel Manupa

Maoni
Chapisha Maoni