Diamond Platnumz ameshindwa kuchukua tuzo yoyote( MTV MAMA-2014 DURBAN)

Diamond Platnumz ameshindwa kushukua tuzo yoyote. katika vipengele viwili alivyokua anagombania, tuzo ya best collaboration ilienda kwa uhuru na nyimbo yake ya tjukutcha aliyomshirikisha professor oskido and dj bucks huku tuzo ya pili ya Best Male ikienda kwa Davido kutoka nchini Nigeria.
Best Male:
Davido (Nigeria)  WINNER

Maoni