Nyimbo mpya kutoka msanii Diamond platnumz mdogo mdogo.

Mwanamuziki Diamond ameamua kuachia ngoma yake mpya inayojulikana kama mdogo mdogo. Wimbo huo mpya hivi sasa unaopigwa katika vituo mbalimbali vya redio nchini Tanzania hali inayoonesha wapenzi wa burudani walikuwa na hamu kubwa kupata wimbo huo. Kwa mujibu wa msanii Diamond wimbo huo mpya ni marekebisho ya wimbo wake wa kitolondo uliovuja siku kadhaa zilizopita.



Maoni