Onesho siku ya Mtoto wa Afrika Bagamoyo 16 juni 2014 viwanja vya mwanamakuka
Maembe Vitali Ametoa Shukrani kwa wote waliounga mkono matembezi aliyofanya kuunga mkono kauli mbiu ya elimu siku ya mtoto wa Afrika
2014.Amesema Vitali "Marafiki waliungana nami, niliingia Bagamoyo tarehe 15 saa tisa
wasanii walinipokea na tukafanya maongezi na tambiko".
Maoni
Chapisha Maoni