MSANII H.BABA AUGUA GHAFLA NA KULAZWA!
Staa wa Bongo Fleva na
Bongo Movies, Hamis Baba (H. Baba) ameugua ghafla jana baada ya kuanguka
wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu
za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades,
Kinondoni, Dar siku ya jana.
Kwa sasa amelazwa hospitalini, tutaendelea kukujulisha hali yake!
Kwa sasa amelazwa hospitalini, tutaendelea kukujulisha hali yake!
Maoni
Chapisha Maoni