HATIMAYE MTOTO NASRA, AZIKWA MOROGORO

Mamia ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiwemo Viongozi wa Serikali, Asasi za kiraia viongozi wa dini na kijamii wamekusanyika katika uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro kuuaga mwili wa mtoto Nasra Mvungi, aliyefariki dunia baada ya kuteswa na kufichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa kwa miaka minne baada ya kufariki kwa mama yake mzazi Mtoto Nasra, amezikwa katika makaburi ya kola, Manispaa ya Morogoro
R.I.P Nasra!

Maoni