Shujaa asiyejulikana,kulekea kuazimisha siku ya mtoto wa Africa

VITALI MAEMBE,jana aliamua kulala mtaani na watoto wanaoishi kwenye Mazingira magumu,akiwaimbia na kubadilishana nao mawazo pamoja na kuwafariji.Asubuhi akatembelea mahabusu ya watoto Upanga na kupata nafasi ya kuongea na mahabusu watoto na kuwaimbia pia!hivi sasa ni navyooandika haya vitali yupo njiani kuelekea Bagamoyo kwa mguu(kutembea) na akipita kila maskani anayokutana nayo kuongelea swala zima la watoto wanaoishi kwenye Mazingira Magumu, Respect to u brother your the TRUE HERO...june 16th Siku ya mtoto wa Africa.

Maoni