Picha za Diamond Platnumz na Mafikizolo wakiwa studio wakirecod nyimbo yao ya pamoja
Diamond pamoja na mameneja wake wawili ambao ni Salam na Bab Tale waliongozana mpaka kwenye studio za msanii mkongwe aitwae Oskido ili kurekodi kolabo hiyo ya Mafikizolo, kundi la Afrika kusini lililorudi kwenye chati kupitia mikono ya Oskido.
Maoni
Chapisha Maoni