Christopher Wallace Jr amefanikiwa kumaliza highschool

Mtoto wa kwanza na pekee wa marehem Rapper B.I.G Christopher Wallace Jr amefanikiwa kumaliza highschool licha ya baba yake kuwa na historia ya kuacha shule na kukimbilia kwenye muziki Christopher Wallace Jr alikuwa na mwaka mmoja tu wakati baba yake alipofariki. Akiwa na mama yake mzazi Faith Evance aliitupia picha hiyo kupitia Istagram na kuandika "My first born son @cj_toa & I #proud."

Maoni