Tuzo za MTV Diamond ameambatana na mchumba wake WEMA SEPETU
Diamond ameelekea nchini South Africa tayari kwa hitimisho la Tuzo za
MTV,katika safari yake hiyo.Diamond ameambatana na mchumba wake WEMA
SEPETU,AUNT EZEKIEL pamoja timu nzima ya WASAFI
Diamond ameambatana na mchumba wake WEMA
SEPETU,AUNT EZEKIEL pamoja timu nzima ya WASAFI.

Maoni
Chapisha Maoni