Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2014

Davido Win 2014 BET Awards International Act: Africa Category

Picha
Nigeria’s Davido has just won the 2014 BET Awards in International Act : Africa category that he was contesting alongside other African artists; Diamond Platinumz, Mafikizolo,Toofan and Tiwa Savage

Ben Pol - Unanichora (Official Video)

Picha

Yaliyojiri kwenye utoaji wa tuzo za Watu,Serena Hotel jijini Dar

Picha

Brand new(Upendo) produced by Man Water, written by Wynjones Kinye (Kinye)

Picha

Download | Joh Makini - I See Me (Najiona Mimi) [Audio] @JohMakini Produced by @Nahreel

Picha
Download | Joh Makini - I See Me (Najiona Mimi) [Audio] @JohMakini Produced by @Nahreel

MTAZAMO WA MGOSI MKOLONI KUHUSU MAPACHA

Picha
Mgosi Mkoloni ya masaa yaliyopita... aliulizwa swali lifuatalo na bwana DanielManupa  Daniel Manupa aliuliza >> "Mgosi Mkoloni naomba uniambie mtazamo wako kuhusu mapacha kutambulisha nyimbo yao ya kwa mara ya kwanza kupitia wafu fm, je ukiwa kama mmoja wa vinega unawaunga mkono na kwamba mmeshayamaliza na kina ruge?" MGOSI MKOLONI ak ajibu >> "Ndugu zangu,harakati kwangu ndio kitu nachokipenda na ninachokifanya. Ndio maisha niliyochagua,kuhusu mapacha wamefanya maamuzi wao kama wao na sikuwahi kushirikishwa hata siku moja zaidi nilisikia kwa watu ndio nikawauliza,binafsi sifikirii na sioni kama kwangu ni suala la kulizungumzia kwa sababu kwenye haya maisha ukiacha hali ya kila mtu na mtazamo wake mimi nachoamini ni kuwa "BORA NIFE NIMESIMAMA KULIKO KUISHI KWA KUPIGA MAGOTI".......anaogopwa Mungu tu na si binadamu@Daniel Manupa

BEN POL Ft. JOH MAKINI ‪#‎UNANICHORA‬ | Produced By Fundi samweli | Directed By N☆sheR

Picha
Friday, 27th June... Ijumaa Hii, New Video Ben Pol@ Ben Pol(Unanichora feat. Joh Makini) Directed by Nisher And New Record (Upendo) produced by Man Water, written by Wynjones Kinye (Kinye)!!! Stay Tuned!!!

Watch "Vanessa Mdee - Come Over (Official Video)" on YouTube

Picha

Kad GO Live @ ZIFF 2014 Tamadunimuzik (Zanzibar International Film Festival - ZIFF 2014)

Picha

SIMU YA MWISHO AUDIO TAREHE 26/06/2014 NA VIDEO TAREHE 27/06/2014 BADO SIKU NNE TU.

Picha
SIMU YA MWISHO INATOKA RASMI WIKI IJAYO AUDIO TAREHE 26/06 NA VIDEO TAREHE 27/06 @naytrueboy @momusic1

Onesho siku ya Mtoto wa Afrika Bagamoyo 16 juni 2014 viwanja vya mwanamakuka

Picha
Maembe Vitali Ametoa Shukrani kwa wote waliounga mkono matembezi aliyofanya kuunga mkono kauli mbiu ya elimu siku ya mtoto wa Afrika 2014.Amesema Vitali  " Marafiki waliungana nami, niliingia Bagamoyo tarehe 15 saa tisa wasanii walinipokea na tukafanya maongezi na tambiko". Maembe Vitali

Isaac ameomba msamaha kwa familia ya Tupac na Biggie na akasema aliamua kukaa kimya mpaka sasa sababu ukomo wa wa kesi hiyo kwa yeye kuhukumiwa umeshakwisha na kwamba hawezi kuhukumiwa kutokana na shambulio hilo.

Picha
Mtu mmoja ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha maisha pamoja na miaka mingine 30 ya mauwaji na uporaji, anayeitwa Dexter Isaac amesema yeye ndiye aliyehusika kumpiga risasi Tupac Shakur kwenye Quad Studios ndani ya Manhattan mnamo mwezi N ovember 1994, huku akiongeza na kusemea kuwa pia alihusika kwa cheni ya iliyosababisha mauwaji ya wote wawili yaani Shakur na Notorious B.I.G., ambaye mwanzoni ndiye aliyetuhumiwa moja kwa moja na njama za kifo cha Tupac. Kwenye taarifa yake jamaa huyo alisema alilipwa $2,500 na James “Jimmy Henchman” Rosemond, mdau mkubwa wa muziki ambaye kwa sasa ni CEO wa Czar Entertainment na ni meneja wa The Game. Kwenye taarifa hiyo, Isaac ameomba msamaha kwa familia ya Tupac na Biggie na akasema aliamua kukaa kimya mpaka sasa sababu ukomo wa wa kesi hiyo kwa yeye kuhukumiwa umeshakwisha na kwamba hawezi kuhukumiwa kutokana na shambulio hilo. Isaac pia ameelezea kujuta kwake kwa kujihusisha na Rosemond, ambaye anaamchukulia kama mtu “mbaya. Rosemond kw...

ALBUM YA SONGA & CHINDO IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO KUMALIZIKA.

Picha
Kwenye album mpya ya SONGA & CHINDO utapata kumsikia pia Nyerere kuna wimbo kafanya chorus humo ndani.

Shujaa asiyejulikana,kulekea kuazimisha siku ya mtoto wa Africa

Picha
VITALI MAEMBE,jana aliamua kulala mtaani na watoto wanaoishi kwenye Mazingira magumu,akiwaimbia na kubadilishana nao mawazo pamoja na kuwafariji.Asubuhi akatembelea mahabusu ya watoto Upanga na kupata nafasi ya kuongea na mahabusu watoto na kuwaimbia pia!hivi sasa ni navyooandika haya vitali yupo njiani kuelekea Bagamoyo kwa mguu(kutembea) na akipita kila maskani anayokutana nayo kuongelea swala zima la watoto wanaoishi kwenye Mazingira Magumu, Respect to u brother your the TRUE HERO...june 16th Siku ya mtoto wa Africa.

Kefee Obareki Don-Momoh amefariki dunia nchini Marekani.

Picha
Mwimbaji maarufu wa injili nchini Nigeria Kefee Obareki Don-Momoh amefariki dunia nchini Marekani. Akijulikana zaidi kama "Branama Queen" inasemeka aliugua akiwa ndani ya ndege kuelekea Marekani wiki mbili zilizopita. Alikuwa mke wa DJ Teddy Don-Momoh, na nyimbo zake zilizotamba sana ni Branama na Kokoroko.

THE HEAVYWEIGHT T.I.F.A COLLABO NA KEN ZI

Picha
TaGha f.t Ken Zi from Ghana ...tafadhalii pitia hapo kwa link

Nyimbo mpya kutoka msanii Diamond platnumz mdogo mdogo.

Picha
Mwanamuziki Diamond ameamua kuachia ngoma yake mpya inayojulikana kama mdogo mdogo. Wimbo huo mpya hivi sasa unaopigwa katika vituo mbalimbali vya redio nchini Tanzania hali inayoonesha wapenzi wa burudani walikuwa na hamu kubwa kupata wimbo huo. Kwa mujibu wa msanii Diamond wimbo huo mpya ni marekebisho ya wimbo wake wa kitolondo uliovuja siku kadhaa zilizopita.

WE GOING IN! Come watch the #ComeOver video for the first time

Picha
Vee Money And the wait is over,   #ComeOverVideo #Hyatt #14thJune Come one, Come all. My people @nahreelbeatz @aikamarealle @shaa_tz @mirror26 will grace the stage.

Illumination - Sitaki Pombe

Picha
Download>>Illumination - Sitaki Pombe

Picha za Diamond Platnumz na Mafikizolo wakiwa studio wakirecod nyimbo yao ya pamoja

Picha
Diamond pamoja na mameneja wake wawili ambao ni Salam na Bab Tale waliongozana mpaka kwenye studio za msanii mkongwe aitwae Oskido ili kurekodi kolabo hiyo ya Mafikizolo, kundi la Afrika kusini lililorudi kwenye chati kupitia mikono ya Oskido.

SUPPOT!!! SUPPORT!!! SUPPORT!!!....

Picha
SUPPOT!!! SUPPORT!!! SUPPORT!!!.... MTU WETU.... Jamaa amefanya video zifuatazo #michano #who dat #pesa kwanza #sijulikani #dakika mbili #nataya g van TZW6 Mecky Tuma 15678 Gharama Ya Kawaida Ya Ujumbe au ingia www.tuzozetu.com kisha fuata maelekezo kipengele cha 6 chagua Mecky Kaloka.  

MTVMama 2014: Mafikizolo beat Psquare to win ‘Best Group’

Picha
South African Pop duo Mafikizolo have edged out psquare and three others to win the Best Group Award at the 2014 MTV Africa Music Awards. The duo had a brilliant 2013,performing in several African countries,collaborating with Nigerian artistes May D and Davido.   ‘We want to thank Africa for voting!‘ they said....