#NASHMCTEMEKESHOW INAKUJA.....#NashMcTemekeShow Inakuja.




Kuelekea #NashMcTemekeShow,kama una T shirt yenye logo zangu,kwa mf: Mchochezi,Mzimu Wa Shaaban Robert,V.v.u,Kiswahili Lugha yangu na Nash Mjomba Mc pamoja na Cd zangu zote,basi endelea kuvitunza vizuri vitu hivyo kwani ukija na kimojawapo siku ya Show utaweza kulipa nusu Ya kiingilio Husika ambacho kitatajwa kuanzia hivi karibuni,kama unahitaji bidhaa kati ya hizo basi unaweza kupiga namba 
0769 522 346,tafadhali piga simu kwa jambo husika tu na si kinyume na hapo,vigezo na masharti kuzingatiwa!.

Maoni