Kaa tayari kwa New Release toka Kwa Tabla Tabula ft. Vanessa Mdee_adhabu mpya

MBALI NA MATATIZO YA HAPA NA PALE, TAREHE OCT 15 Inshaalah, NATARAJI KUACHIA KAZI AUDIO MPYA "adhabu mpya" ft. Vanessa Mdee. SEP 5 Inshaalah NAACHIA VIDEO YAKE KWA HEWA. SAPOT YENU NDO KILA KITU. Speed ileile yechu yechuu!!.

Maoni