Juma pili hii 28/09/2014 Kimbunga Mchawi Ndani ya Club71 kibo complex Tegeta Kibaoni Dar es salaam
Kimbunga mchawi [ @kimbungamchawi] atakua ana lauch albam
[BEI GHALI] pale Pamoja na WAChawi RepabliC
Hata sindikizwa na:-||Songa||P the mc||Kala Pina||Climax
Bibo||Zaiid||Biggie Boss||Geez Mabovu||O Ten||Maujanja Saplayaz||
Na wengine kibao kwa kiingilio cha buku saba tu(7000/=)
Maoni
Chapisha Maoni