Lyrics to "Ulale Pema" song by Balozi Wa Ghetto.


Ulale pema bk,wa tmk mapanga/
ulale pema steve 2k,father nelly langa/
ulale pema albert Mangwea,john mgema pacha/
ni njia moja tunayoelekea ntafuata/
sikiza/
ulale pema remy ongala/
kwel kifo hakina huruma japo foleni msafara/
ulale pema mac 2b,mapema umesonga/
mr ebbo,ulale pema d rob zomba/
ulale pema marjan rajabu/
tx moshi,mzee gurumo buriani babu/
justine kalikawe/
haki iko wapi kwa sugu umekwenda leo uko mbali naye/
ulale pema cool james dandu/
hata uliyempenda pia analia cool james wangu/
ulale pema complex na vivi/
bi kidude daima nakuombea ulale pema bibi/

Maoni