AMKENI WATANZANIA WASANII MNAO JISIFIA MNAWAPENDA WANAISHI MAISHA MAGUMU SANA HAMJUI TU NA NYIE NDO MNACHANGIA KWA KIASI KIKUBWA KUZOROTESHA MAFANIKIO YAO KWA MAMBO YAFUATAYO:-
1.kuto nunua album au santuri ya
msanii husika
2.ku choma CD kwenye mabanda ya watu wanaotaka kunufaika wenyewe
3.kurushiana kwenye bluetooth wakati wasanii wenyewe wanauza hata nyimbo mojamoja tena bei chee sana
4.kuazima album na kuirudufisha bila kibali na kumnufaisha msanii
5.na kuto hudhuria matamasha ya wasanii hao mnao wakubali
6.naamini urafiki ni kusaidiana unakuta facebook msanii ana rafiki mpaka wamejaa tayari na twiter.watsupp.bbm lakini hauzi hata nakala elfu kumi tu kama unajijua una urafiki na msanii yoyote na huna album yake toka tu mwenyewe.
nanukuu kuna nyimbo ya NIKKI MBISHI inaitwa msuli tembo matokeo sungura. mimi naitafsiri tofauti nae kidogo nnacho taka kusema ni hivi msuli tembo- ni nguvu kubwa anayotumia msanii mpaka anaandaa wazo anaanza kupanga vina kwa muda sana anafanya mazoezi sana .anavumilia foleni barabarani anavumila kero za studio kwa muda mrefu sana anafanikiwa kurekodi kwa tabu sana. halafu unakuta msanii huyo album yake ina zaidi ya nyimbo kumi na nane. anaipomaliza anaanza kuhangaika maredioni ngoma yake ichezwe bado wanataka awahonge ndo waicheze na pesa zote zimeishia studio. sasa matokeo sungura ni hvi. nyimbo inasikika vizuri mapato hakuna redioni akiuliza anatishiwa ngoma kutopigwa. ma redio presenter wanaanza kuisambaza mitaani na kila mahali bila malipo kwa msanii husika wana muahidi shows lakini hawamlipi anacho stahili wanamubia kila sehemu na album ikitoka utasikia redioni album review lakini pamoja nakumuibia toka mwanzo hata album anaicopy tu hanunui. na mashabiki nao wanashabikia upumbavu hawnunui kazi. na hyo ndo maana ya msuli tembo matokeo sungura. upo hapo

Maoni
Chapisha Maoni