Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2014

OLD SCHOOL VIBE_P THE MC & ZAIID_OLD SCHOOL VIBE.. LOADING...

Picha

Juma pili hii 28/09/2014 Kimbunga Mchawi Ndani ya Club71 kibo complex Tegeta Kibaoni Dar es salaam

Picha
Kimbunga mchawi [ @kimbungamchawi] atakua ana lauch albam [BEI GHALI] pale Pamoja na WAChawi RepabliC Hata sindikizwa na:-||Songa||P the mc||Kala Pina||Climax Bibo||Zaiid||Biggie Boss||Geez Mabovu||O Ten||Maujanja Saplayaz|| Na wengine kibao kwa kiingilio cha buku saba tu(7000/=)

AMKENI WATANZANIA WASANII MNAO JISIFIA MNAWAPENDA WANAISHI MAISHA MAGUMU SANA HAMJUI TU NA NYIE NDO MNACHANGIA KWA KIASI KIKUBWA KUZOROTESHA MAFANIKIO YAO KWA MAMBO YAFUATAYO:-

Picha
  1.kuto nunua album au santuri ya msanii husika 2.ku choma CD kwenye mabanda ya watu wanaotaka kunufaika wenyewe 3.kurushiana kwenye bluetooth wakati wasanii wenyewe wanauza hata nyimbo mojamoja tena bei chee sana 4.kuazima album na kuirudufisha bila kibali na kumnufaisha msanii 5.na kuto hudhuria matamasha ya wasanii hao mnao wakubali 6.naamini urafiki ni kusaidiana unakuta facebook msanii ana rafiki mpaka wamejaa tayari na twiter.watsupp.bbm lakini hauzi hata nakala elfu kumi tu kama unajijua una urafiki na msanii yoyote na huna album yake toka tu mwenyewe. nanukuu kuna nyimbo ya NIKKI MBISHI inaitwa msuli tembo matokeo sungura. mimi naitafsiri tofauti nae kidogo nnacho taka kusema ni hivi msuli tembo- ni nguvu kubwa anayotumia msanii mpaka anaandaa wazo anaanza kupanga vina kwa muda sana anafanya mazoezi sana .anavumilia foleni barabarani anavumila kero za studio kwa muda mrefu sana anafanikiwa kurekodi kwa tabu sana. halafu unakuta msanii huyo album yake ina zaidi...

T shirt Za Nash Mc Temeke Show,bei ni elfu 15 tu,piga namba 0714 54 51 95.

Picha
Kama nilivyowaambia kua maandalizi yamekamilika na yanendelea kukamilika,watu walipenda hii Logo ya Nash Mc Temeke show iwe ktk T shirt na sasa mzigo huo hapo,bei ni elfu 15 tu,piga namba 0714 54 51 95! ‪ #NashMcTemekeShow kaa tayari.

Lyrics to "Ulale Pema" song by Balozi Wa Ghetto.

Picha
Ulale pema bk,wa tmk mapanga/ ulale pema steve 2k,father nelly langa/ ulale pema albert Mangwea,john mgema pacha/ ni njia moja tunayoelekea ntafuata/ sikiza/ ulale pema remy ongala/ kwel kifo hakina huruma japo foleni msafara/ ulale pema mac 2b,mapema umesonga/ mr ebbo,ulale pema d rob zomba/ ulale pema marjan rajabu/ tx moshi,mzee gurumo buriani babu/ justine kalikawe/ haki iko wapi kwa sugu umekwenda leo uko mbali naye/ ulale pema cool james dandu/ hata uliyempenda pia analia cool james wangu/ ulale pema complex na vivi/ bi kidude daima nakuombea ulale pema bibi/

AK 47 Mixtape BUNDUKI VOL.1 akiwashirikisha wasanii wote wa TamaduniMuzik,support Bunduki Midundo support Hip Hop.

Picha
Bunduki Midundo +44 7459 415077 bunduki2@facebook.com

Download |Algebra - Kila Pindi

Picha

Kaa tayari kwa New Release toka Kwa Tabla Tabula ft. Vanessa Mdee_adhabu mpya

Picha
MBALI NA MATATIZO YA HAPA NA PALE, TAREHE OCT 15 Inshaalah, NATARAJI KUACHIA KAZI AUDIO MPYA "adhabu mpya" ft. Vanessa Mdee. SEP 5 Inshaalah NAACHIA VIDEO YAKE KWA HEWA. SAPOT YENU NDO KILA KITU. Speed ileile yechu yechuu!! .

Download |Young Rich ft Janeth - Sexy Hip Hop (Prod. By Man DvD)

Picha

KANDA MSETO(MIXTAPE) YA XDIZZO RENE BIASHARA NYEUSI,KUTOKA KUSH REC

Picha
0653 767 835 xdizo.renne@facebook.com

Professor Jay - Tatu Chafu (Official Video)

Picha

Download |Dom Down Click _Mazishi Prod_Bello Bin Laden

Picha

#NASHMCTEMEKESHOW INAKUJA.....#NashMcTemekeShow Inakuja.

Picha
Kuelekea #NashMcTemekeShow,kama una T shirt yenye logo zangu,kwa mf: Mchochezi,Mzimu Wa Shaaban Robert,V.v.u,Kiswahili Lugha yangu na Nash Mjomba Mc pamoja na Cd zangu zote,basi endelea kuvitunza vizuri vitu hivyo kwani ukija na kimojawapo siku ya Show utaweza kulipa nusu Ya kiingilio Husika ambacho kitatajwa kuanzia hivi karibuni,kama unahitaji bidhaa kati ya hizo basi unaweza kupiga namba  0769 522 346,tafadhali piga simu kwa jambo husika tu na si kinyume na hapo,vigezo na masharti kuzingatiwa!.

NewMAISHA CLUB MTWARA presents BACK TO COLLEGE CONCERT featuring Mansu-Li & Nikki Mbishi, Friday:19/09/2014, entry 10,000/-

Picha

Download |Mansu-Li Vina Vyevye Maana

Picha

Ben Pol ameamu kesho siku ya birthday yake ajumuike na watoto na kuwapa moyo.

Picha

Wamekubali promo kwenye show hata buku hawajalipwa(P The-mc Polymath)UKWELI ULIOFICHIKA

Picha
Wanadanganywa kwamba viduku ndo vinalipa/ Bado mazumbukuku na watupu kwenye vichwa/     Ulimwengu uko huku unawaita/ Wamekubali promo kwenye show hata buku hawajalipwa/ Kuficha siri wanapiga picha na magari/ waonekane mziki ndo ushawalipa tayari/ gari za mapresenta, wanavishwa ufahari/ Wakati ukweli wamepigika hawana hali/ ..........Ujanja kujituma bila noma/ Ukiwa mtumwa stori zitavuma kila kona/ Alosema wenzake wamebuma tumemwona/ Amepiga magoti kwa ustadhi juma na musoma/ Skia, enyi maboya hii ni habari kwenu/ Kwamba haiuzi bongo fleva, rap wala mayenu/ Mtavaa sana skin, kata sana mauno/ Mkishtuka mmefulia mnatuacha wabishi tumo/