WEMA SEPETU ameamua kuchukua/kujaza form za kushiriki kwenye shindano la BIG BROTHER AFRICA
Baada ya kupendekezwa sana na wadau, Kuna tetesi kuwa mwanadada mrembo na mkali wa Bongo Movies WEMA SEPETU ameamua kuchukua/kujaza form za kushiriki kwenye shindano la BIG BROTHER AFRICA kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania mwaka huu.
Maoni
Chapisha Maoni