KITU MNACHOSHINDWA KUELEWA KATI YA MALLE MARXIST NA SHASHOW WA LUNDUNO



Shashow  Wa Lunduno:> Malle ni msanii mnafiki sana KAPOST STATUS ya KINAFIKI alafu KANI-BLOCK(facebook)...@jiulize kwa nini KANI-BLOCK kama sio NIDHAMU ya UWOGA ni nini???

Malle Marxist:> nilikuwa namchallenge juzi kati hapa kwenye post zake juu ya muziki wake kwa ujumla,, mwanzoni akanipigia simu akanimind lakini baadaye akanielewa kwamba Nampa Changamoto tu hakuna uadui wala nini.

Shashow  Wa Lunduno :>Sa ckiliza Malle izo ndo nguvu zenyewe izo za kuwaweka mashabk dilema kwa kuzania 2na bifu so 2nawafnya wawe up2date kinoma noma kuhusu ce" we endelea kuwatisha 2 na me nikizama mtandaon najifanya km nimemind ivi na nacoment kinoko nook.

Malle Marxist:> sasa hapa ntakuwa na tofauti gani na wale watangazaji walioigiza kupigana studio ili kukipa kiki kipindi.... ama wale marapa walipoigiza kutaka kupigana mbele ya waandishi wa habari ili wapromote show yao.... siwezi kupoteza Heshima yangu mbele za watu ili wewe ujulikane... mimi ni MWANDISHI.... sio MHANDISI WA HABARI..... Koh!!!!! Koh!!!!! Koh!!!!!!! chenchi inabaki......... NO PROMO.
Chat Conversation End

Maoni