Narudia kuwaambia kilinge sio kwa tamadunimuzik tu,ni kwa wasanii wote hatuangalii tofauti zetu za kiitikadi wala nani hana vina


mkija kwenye kilinge mtarushiwa mawe jamani??? Mnatuangusha,mwaka unaisha huu nimempigia darasa aje aitangaze mixtape yake pale naona kapoteza tunashindwa kuwaelewa ndugu zetu,imekuaje??? Narudia kuwaambia kilinge sio kwa tamadunimuzik tu,ni kwa wasanii wote hatuangalii tofauti zetu za kiitikadi wala nani hana vina, watu wanasema sisi tunabagua wasanii wengine wkt sio kweli mimi nimempigia simu darasa aje lkn kimya ss hapa ttzo la nani??? Au roma sikuwahi kukusisitizia kufika pale tangu umechukua tuzo????tunahitaji kuacha fikra ambazo hazijengi tunahitaji ukaribu ili kuwapa imani watu wanaokata tamaa na mahusiano yetu wasanii,kama watu wazima mshanielewa ndugu zangu.#Nash Mc

Maoni