Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2014

LISTEN| Feel Alright-Nikki Mbishi& Songa(underground legendary Vol2)

Picha

Download| TATU CHAFU_PROFESSOR JAY ft J HUSTLE & NIGGA J_TATU CHAFU

Picha

Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya

Picha
Nashukuru wote mnaokubali kazi zangu, wote mnaosimama na kutetea JayDee bila kusita, nashukuru kwa Tuzo nyingine tena toka AFRIMMA . Wahenga walinena kuwa utavuna ulichopanda, mapenzi tele kwa kila mtu. Lady Jaydee

Download| D triple Ft Ben Pol – Kiburi cha Mchele

Picha

Hivi ndivyo alivyo pokelewa Diamond Platnumz baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani kwenye TUZO za Afrimma.

Picha

Video Launch| Dayna Featuring Nando On August 1st

Picha

Diamond Ameeleza Utata Uliotokea Katika Tuzo Za Afrimma 2014 Tuzo hiyo Kupewa Mafikizolo.

Picha
Baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo asubuhi, Diamond ameeleza utata uliotokea katika tuzo. Amesema yeye alitajwa jukwaani kuwa mshindi wa tuzo mbili ya Msanii Bora wa kiume Afrika Mashariki na Wimbo Bora wa kushirikiana (My Number One Remix Feat. Davido), lakini baadae yalifanyika mabadiliko na tuzo hiyo kupewa Mafikizolo na wimbo wa Khona waliowashirikisha Uhuru. Ameongeza kuwa hata Sheddy Clever pia alitajwa kuwa mshindi kama producer na kuoneshwa kabisa.

TATU CHAFU. .. Is coming out ALHAMISS hii STRAIGHT from MWANALIZOMBE Studios. .It's PROFESSOR JAY ft J HUSTLE & NIGGA J .... Stay tuned!!!

Picha

Download |Country boy_Ft_Mr_Blue_-_Mchaka_mchaka

Picha

Think About It- Witnesz AND Ochu Sheggy (Official Video)

Picha

Download |Think About It- Witnesz AND Ochu Sheggy

Picha

Download |NIMEMPATA_PAM D_FT_MESEN SELEKTA

Picha

Download | Lamar Ft Chege - Uswazi Take Away @udio

Picha

Darassa Ft Osman-Sio Mbaya Officia Music Video

Picha

Narudia kuwaambia kilinge sio kwa tamadunimuzik tu,ni kwa wasanii wote hatuangalii tofauti zetu za kiitikadi wala nani hana vina

Picha
mkija kwenye kilinge mtarushiwa mawe jamani??? Mnatuangusha,mwaka unaisha huu nimempigia darasa aje aitangaze mixtape yake pale naona kapoteza tunashindwa kuwaelewa ndugu zetu,imekuaje??? Narudia kuwaambia kilinge sio kwa tamadunimuzik tu,ni kwa wasanii wote hatuangalii tofauti zetu za kiitikadi wala nani hana vina, watu wanasema sisi tunabagua wasanii wengine wkt sio kweli mimi nimempigia simu da rasa aje lkn kimya ss hapa ttzo la nani??? Au roma sikuwahi kukusisitizia kufika pale tangu umechukua tuzo????tunahitaji kuacha fikra ambazo hazijengi tunahitaji ukaribu ili kuwapa imani watu wanaokata tamaa na mahusiano yetu wasanii,kama watu wazima mshanielewa ndugu zangu.# Nash Mc

WEMA SEPETU ameamua kuchukua/kujaza form za kushiriki kwenye shindano la BIG BROTHER AFRICA

Picha
Baada ya kupendekezwa sana na wadau, Kuna tetesi kuwa mwanadada mrembo na mkali wa Bongo Movies WEMA SEPETU ameamua kuchukua/kujaza form za kushiriki kwenye shindano la BIG BROTHER AFRICA kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania mwaka huu.

AFRIMMA 2014|Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)| Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)

Picha
Kwa mujibu wa mtandao wa African Music Magazine, Lady Jay Dee alishinda tuzo ya mwimbaji bora wa kike wa Afrika Mashariki na Diamond Platinumz alishinda tuzo ya Msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa maelezo aliyoandika Diamond kwenye Instagram, inaonesha kama ameshinda tuzo zaidi ya moja. “First of all napenda nimshkuru sana Mwenyez mungu, Mama, Family, My management, kipenzi changu, Media, bila kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa kwani sikuzote mmekuwa mkinisupport bega kwa bega kwenye shida na raha...Niwashkuru pia Wasanii wenzangu toka nje na ndani ya Tanzania kwani naamini changamoto tunazopeana ndio zimefanya hadi sasa mziki wetu ufikie hapa...hakika tunzo hizi si zangu bali ni za Muziki wa Bongo flavour... Mwisho kabisa nimshkuru Mh Rais Jakaya Mrisho kikwete kwa mchango wake wa kila siku katika sanaa yetu!... Mr President your Son Did it!!!!! #MdogMdogo.”

Barnaba - Wahalade ( Official Video )

Picha

Hussein Machozi Afumaniwa Na Mke Wa Mwanasiasa Maarufu Nchini Kenya

Picha
Kwa mujibu wa gazeti la The Star la Kenya, Hussein Machozi alikuwa anatembea na mwanamke wa mwanasiasa huyo wa Mombasa kwa muda mrefu kwa siri huku wakiwa na mipango mikubwa ikiwa ni pamoja na kununua nyumba. Gazeti hilo linaeleza kuwa liliongea na rafiki wa karibu wa Hussein Machozi wa Mombasa anaefahamika kwa jina maarufu Notystee na alikiri kutokea kwa tukio hilo.

Download| Dully Sykes - Togola

Picha

Download | ZAiiD ft Rossie Em _ KWA NINI

Picha

Young Dee - Rockstar (Official Music Video)

Picha

UMEBADILIKA‬|Youngkillermsodoki ft bananazoro

Picha

Hold on_ Cjamoker ft Yung Lunya_Zaiid_Jcob(Official Video)

Picha

Download | Lamar FT Navy Kenzo @NavyKenzo - Chelewa TheREFIX

Picha

New AUDIO |Huko Kwenu Vipi_Stamina_ft_Ney| Download

Picha

Stereo Ft Ben Pol - Usione Hatari.(Official Video)

Picha

Stella Mwangi - BIASHARA ft Kristoff & Khaligraph Jones (Official Video)

Picha

New AUDIO |Madee-Mateso_Zaidi_Ya_Yesu| Download

Picha

New AUDIO | Y-TONY MY KISHTOBE| Download

Picha

New AUDIO | Dknob_Njaa ya Mkwanja| Download

Picha

Kalapina Feat Q Chillah - Hip Hop Is Alive (Official Video)

Picha

New AUDIO |MALFRED FT. KALA JEREMIAH - USIPOTEZE TIME| Download

Picha
Mkali wa Dancehall/Ragga na Sweet Reggae MALFRED amedondosha mzigo wake Mpya akiwa amemshirikisha Kala Jeremiah Mzigo unaitwa USIPOTEZE TIME Audio

{EXCLUSIVE}NEW VIDEO | YOUNG KILLER ft Damian Soul-MY POWER{Official Video}

Picha

New AUDIO | LIZZY DADY MCEE - NOMA | Download

Picha

NEW JOINT | DOWNLOAD Young Rich ft Chibwa - Put Ur Hands Up..(Bokazy Ent ..Prod By Man DvD

Picha
Bokazy Ent ..Prod By Man DvD

NEW JOINT | DOWNLOAD YOUNG DEE - ROCK STAR

Picha

KITU MNACHOSHINDWA KUELEWA KATI YA MALLE MARXIST NA SHASHOW WA LUNDUNO

Picha
Shashow  Wa Lunduno :> Malle  ni msanii mnafiki sana KAPOST STATUS ya KINAFIKI alafu KANI-BLOCK(facebook)...@jiulize kwa nini KANI-BLOCK kama sio NIDHAMU ya UWOGA ni nini??? Malle Marxist :> nilikuwa namchallenge juzi kati hapa kwenye post zake juu ya muziki wake kwa ujumla,, mwanzoni akanipigia simu akanimind lakini baadaye akanielewa kwamba Nampa Changamoto tu hakuna uadui wala nini . Shashow  Wa Lunduno :>Sa ckiliza Malle izo ndo nguvu zenyewe izo za kuwaweka mashabk dilema kwa kuzania 2na bifu so 2nawafnya wawe up2date kinoma noma kuhusu ce" we endelea kuwatisha 2 na me nikizama mtandaon najifanya km nimemind ivi na nacoment kinoko nook. Malle Marxist :> sasa hapa ntakuwa na tofauti gani na wale watangazaji walioigiza kupigana studio ili kukipa kiki kipindi.... ama wale marapa walipoigiza kutaka kupigana mbele ya waandishi wa habari ili wapromote show yao.... siwezi kupoteza Heshima yangu mbele za watu ili wewe uj...

KIPI SIJASIKIA VIDEO. ... Behind the scene!!

Picha

NEW JOINT | DOWNLOAD MECCO16,MEDDY-SAMURAI_FT_ZERRAGON&STER-ZEAL_-_ MATAA-YA-JIJI

Picha

Ben Pol &Les Wa Nyika - Afro Remix

Picha

Diamond platnumz wakati anatua airport Dar es salaam akitokea nchini Marekani.

Picha
Hichi ndicho alichokutana nacho Diamond platnumz wakati anatua airport Dar es salaam...dah! Kweli kama wasemavyo "Hakuna Mahala kama Nyumbani".

RHYMES OF MAGIC ATTRACTION Loading...... " UKOMBOZI"

Picha
R.O.M.A. ft. Mwana F.A/ Jay Moe/ Mwasiti "UKOMBOZI" " UKOMBOZI" " UKOMBOZI"

Download Baghdad PG Ft. Dream - Haters

Picha

ALGEBRA -NANI MKALI

Picha

Diamond Platnumz Feat Iyanya - Bum Bum (Official Video)

Picha

Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Official Video)

Picha

New Music: Chidi Benz Ft Bob Junior – Mahaba Niuwe

Picha