Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2014

Download| Moh-rhymes_Nipokee

Picha

SANTURI YA R.A.P (REPRESENTING AFRICA POPOTE) IKO TAYARI NA INAINGIA SOKONI DESEMBA 5.

Picha
One (Incredible), R.A.P (REPRESENTING AFRICA POPOTE) IS DUE TO HIT THE STREETS ON THE 5TH OF DECEMBER.

THE ELEMENT II

Picha
Kati ya ViTAMiN zipatikanazo kwenye THE ELEMENT II...Narlekea iKulu - Miracle na Shabiki - Adam Shule KongweHamisi .... Mzigo rasmi utapatikana kuanzia tarehe 29 Novemba hii.. HiP HOP 7212..D.D.C..Tamadunimuzik..M Lab records..Aj records Duke Gervalius

Wasanii kama ‪#‎GEEZMABOV‬ tunao wengi sana hapa ‪#‎TANZANIA‬ lakini hatujifunzi kwa mifano!! kuna vipaji havipaswi kupuuziwa hata kidogo jamani vipeni support a hundred please!!.

Picha
#‎ Lawama‬ zinakuwa nyingi sana naona!!! Na wengi mnazipeleka eneo moja tu!! Askwambie mtu hakuna watu wenye ‪#‎ Stress‬ kama sisi ‪#‎ wasanii‬ aaaf mbaya zaidi sisi wengi wetu hatuwezi kuishinda hiyo ‪#‎ Challenge‬ finally tunafail!! Kuna kipindi msanii unakuwa ‪#‎ Juu‬ sana na hiyo inatokana na juhudi zako na support unayopewa na wadau wa mziki (media sanasana) na mashabiki!! ‪#‎ HALAFU‬ GHAFLA FROM NOWHERE ULE UJUU UNAANZA KUPUNGUA KISHA UNAISHA KABISA!! AU KUNA WAKATI HUO UJUU HAUISHI TARATIBU UNAISHA GHAFLA TU VUUUP!! #STRESS INAANZA!! SWALI NI KWANINI HUO UJUU UNAISHA GHAFLA!!? Je uwezo wako unaisha? Unaridhika mafanikio? Unaikosa ile support ya awali toka kwa wadau? Je unashushwa kwa nguvu za watu fulani? Kuna wengine sasa wasanii wanakuwa hawajawahi kuwa #JUU Lakini wanafight kufika juu na wanajituma hasa na ‪#‎ NI_WAKALI‬ sana lakini zinatokea tu ‪#‎ FIGISUFIGISU‬ msanii anakuwa hatoboi!! Finally anaamini anabaniwa na hapewi support. ..#STRESS IN...

TANZIA...GEEZ MABOVU AMEFARIKI DUNIA.

Picha
Msanii wa Hip hop Geez Mabovu amefariki dunia usiku wa saa mbili ya leo baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa miezi kadhaa Wiki kadhaa zilizopita Geez Mabovu alielekea kwao Iringa kwa matibabu zaidi na ndipo hali yake ilibadilika na kuwa mbaya hadi umauti ulipomkuta hii Leo. R.I.P Geez Mabovu.

TOKA KWENYE MIXTAPE YA ‪#‎MWENGE_KIWALANI‬ TUTAACHIA WIMBO WIKI IJAYO UNAOITWA ‪#‎HAPPY_BIRTHDAY_WACK‬ KWA AJILI YA KUWAPONGEZA MA WACK WOOOTE DUNIANI!!!!!

Picha

FIKRAH TEULE MOMBASA NA NASH MC TANZANIA WANAKULETEA... ‪#‎TEMBEZAKINASAMOMBASA‬ TAREHE 22/11/2014 UKUMBI WA ALLIANCE FRANCE JIJINI MOMBASA.

Picha
  FIKRAH TEULE MOMBASA NA NASH MC TANZANIA WANAKULETEA... ‪#‎ TEMBEZAKINASAMOMBASA‬ TAREHE 22/11/2014 UKUMBI WA ALLIANCE FRANCE JIJINI MOMBASA

Lyrics| Young Killah Msodoki Ft: Fid Q Produced By: P-Funk Majani

Picha
Read “13” by Young Killah Msodoki on Genius

DOWNLOAD| YALIYOMO_MAARIFA BIGTHINKER_ FT_SYLLABUS SAHIHI&MAARIFA N.A.C

Picha

#TANZIA MSANII 'YP' AFARIKI DUNIA.

Picha
Msanii 'YP' toka kundi la TMK Wanaume Family amefariki jana usiku katika hospitali ya TMK ambako alikuwa akisumbiliwa na kifua kwa muda mrefu lakini hali ilikuwa mbaya katika wiki mbili kabla ya kifo chake. Meneja wa TMK Wanaume Family Said Fela amethibitisha kutokea kwa msiba huo. Msiba wa msanii huyo uko Keko nyumbani kwa baba yake. Said Fella amesema Marehemu ambaye jina lake halisi ni Yessaya Ambikile alifanya vizuri na msanii mwingine Y Dash na nyimbo kama 'Ulipenda Pesa', 'Pumzika', 'Shemsha' na nyimbo nyingi za TMK Wanaume Family kama 'Twende zetu' ya Chege, 'Dar mpaka Moro', 'Kichwa kinauma', 'Tufurahi' na nyimbo nyingi za TMK Wanaume family. R.I.P YP

Tukio la ki historia Trh 19/10/2014 jumapili hii Chuo Cha Bandari Tandika ‪#‎NashMcTemekeShow‬ zimebaki Siku 4 tu.

Picha
Maswali ya kiwaki Mapendo Asiehusika na Hip Hop Maalim Ponda Mitihani Hakuna Anaetudai zimaaaaaaaaaaa! tket 3000/=,mlangoni itakua 4000/= Siku ya tukio rasmi.

#NashMcTemekeShow bado Siku 5

Picha

TUTASHEREHEKEA FALSAFA ZA MWALIMU KUHUSU UMOJA WA WAAFRIKA

Picha
 Viwanja vya Stendi Bagamoyo, Juma4 Tarehe 14/10/2014 Saa Tisa mpaka saa kumi na mbili jioni. Hakuna kiingilio. Karibu! ONESHO! Vitali Maembe 

Download |Miracle-naelekea-ikulu-produced-by-duke

Picha

#‎NashMcTemekeShow‬ zimebaki Siku 6

Picha
  #‎ NashMcTemekeShow‬ zimebaki Siku 6

(DDC) DOM DOWN CLIC INATANGAZA KANDA MSETO ITAYO WAJIA HIVI KARIBUNI AMBAYO YA THE ELEMENT VOL. 2

Picha
M LAB IKISHILIKIANA NA AJ RECORD INATANGAZA KANDA MSETO ITAYO WAJIA HIVI KARIBUNI AMBAYO YA THE ELEMENT VOL. 2 MTAHALISHAJI AKIWA Duke Tachez NA WACHENGUAJI MC KUTOKA @DDC YAN DOM DOWN CLIC KWA WALE WAPENZI WA UTAMADUNI WA HIP HOP NCHINI KOTE TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU MRADI UKO NJIANI UNAKUJA AHSANTE TAMADUNI +DDC.

#‎NashMcTemekeShow‬ zimebaki siku 8| #‎NashMcTemekeShow‬ zimebaki siku 8|#‎NashMcTemekeShow‬ zimebaki siku 8|#‎NashMcTemekeShow‬ zimebaki siku 8

Picha

Young Killer ft BananaZorro - Umebadilika ( Official Video )

Picha

Download| Algebra Ft Kiggi Rhymes - The Academy

Picha

Chindo Man (Watengwa)- Haikupangwa ft Wise Man (Official Video)

Picha

Download |Old School Vibe_ P The Mc &Zaiid_ Bokazy Ent Prod by Man Dvd_Old School Vibe

Picha
P The Mc | Old School Vibe with Zaiid

#‎NASHMCTEMEKESHOW‬ TUNATANGAZA RASMI MAELEZO YOTE YANAYOHUSU TUKIO HILI.. KAMA INAVYOONEKANA KATIKA TANGAZO HILI

Picha

OLD SCHOOL VIBE_P THE MC & ZAIID_OLD SCHOOL VIBE.. LOADING...

Picha

Juma pili hii 28/09/2014 Kimbunga Mchawi Ndani ya Club71 kibo complex Tegeta Kibaoni Dar es salaam

Picha
Kimbunga mchawi [ @kimbungamchawi] atakua ana lauch albam [BEI GHALI] pale Pamoja na WAChawi RepabliC Hata sindikizwa na:-||Songa||P the mc||Kala Pina||Climax Bibo||Zaiid||Biggie Boss||Geez Mabovu||O Ten||Maujanja Saplayaz|| Na wengine kibao kwa kiingilio cha buku saba tu(7000/=)

AMKENI WATANZANIA WASANII MNAO JISIFIA MNAWAPENDA WANAISHI MAISHA MAGUMU SANA HAMJUI TU NA NYIE NDO MNACHANGIA KWA KIASI KIKUBWA KUZOROTESHA MAFANIKIO YAO KWA MAMBO YAFUATAYO:-

Picha
  1.kuto nunua album au santuri ya msanii husika 2.ku choma CD kwenye mabanda ya watu wanaotaka kunufaika wenyewe 3.kurushiana kwenye bluetooth wakati wasanii wenyewe wanauza hata nyimbo mojamoja tena bei chee sana 4.kuazima album na kuirudufisha bila kibali na kumnufaisha msanii 5.na kuto hudhuria matamasha ya wasanii hao mnao wakubali 6.naamini urafiki ni kusaidiana unakuta facebook msanii ana rafiki mpaka wamejaa tayari na twiter.watsupp.bbm lakini hauzi hata nakala elfu kumi tu kama unajijua una urafiki na msanii yoyote na huna album yake toka tu mwenyewe. nanukuu kuna nyimbo ya NIKKI MBISHI inaitwa msuli tembo matokeo sungura. mimi naitafsiri tofauti nae kidogo nnacho taka kusema ni hivi msuli tembo- ni nguvu kubwa anayotumia msanii mpaka anaandaa wazo anaanza kupanga vina kwa muda sana anafanya mazoezi sana .anavumilia foleni barabarani anavumila kero za studio kwa muda mrefu sana anafanikiwa kurekodi kwa tabu sana. halafu unakuta msanii huyo album yake ina zaidi...