# Lawama zinakuwa nyingi sana naona!!! Na wengi mnazipeleka eneo moja tu!! Askwambie mtu hakuna watu wenye # Stress kama sisi # wasanii aaaf mbaya zaidi sisi wengi wetu hatuwezi kuishinda hiyo # Challenge finally tunafail!! Kuna kipindi msanii unakuwa # Juu sana na hiyo inatokana na juhudi zako na support unayopewa na wadau wa mziki (media sanasana) na mashabiki!! # HALAFU GHAFLA FROM NOWHERE ULE UJUU UNAANZA KUPUNGUA KISHA UNAISHA KABISA!! AU KUNA WAKATI HUO UJUU HAUISHI TARATIBU UNAISHA GHAFLA TU VUUUP!! #STRESS INAANZA!! SWALI NI KWANINI HUO UJUU UNAISHA GHAFLA!!? Je uwezo wako unaisha? Unaridhika mafanikio? Unaikosa ile support ya awali toka kwa wadau? Je unashushwa kwa nguvu za watu fulani? Kuna wengine sasa wasanii wanakuwa hawajawahi kuwa #JUU Lakini wanafight kufika juu na wanajituma hasa na # NI_WAKALI sana lakini zinatokea tu # FIGISUFIGISU msanii anakuwa hatoboi!! Finally anaamini anabaniwa na hapewi support. ..#STRESS IN...